Kisa Maradhi Ya Kisukari, Mke Amkimbia Mume Wake Na Kuhamia Kwa Jirani ! Mwanaume mmoja wa makamo mkaazi wa mkoani Morogoro, nchini Tanzania, amekutana na adha ya maisha, baada ya kukimbiwa na mke wake wa ndoa huku sababu kuu ikitajwa kuwa maradhi ya kisukari yanayo mkabili mwanaume huyo kwa muda mrefu. Shuhuda wa kisa hiki, ameeleza kuwa, mwanamke huyo baada ya kumkimbia mume wake wa ndoa, amehamia kwa mwanaume mwingine ambae anaishi katika nyumba jirani na ananapoishi mume wake huku akimuacha mumewe akiwa anateseka na maradhi ya kisukari pasi na msaada wowote !Kusoma zaidi habari hii na kusikia sauti <<BOFA HAPA>>http://go.ad2up.com/afu.php?id=1223048 Share This: Facebook Twitter Google+ Pinterest Linkedin