Mambo 6 Ambayo ukiyafanya kamwe hutapata Ugonjwa Wa kuharisha..!! Kuharisha ni ugonjwa ambao husababishwa na vimelea (bacteria) ambao huenezwa na hali ya uchafu (inzi). kwa hiyo kama kama utafanya yafutayo basi huwezi pata tatizo hilo.1. Kuzingatia usafi wa choo2. Kunawa mikono kila baada ya kutoka chooni3. Kuosha vyombo vizuri na kuvihifadhi sehemu safi4. Kuosha matunda kabla ya kula5. Kunywa maji safi na salama (yaliyochemshwa)6. Kunawa mikono kila unapohitaji kula chochote Share This: Facebook Twitter Google+ Pinterest Linkedin