Kujichua Kulisababisha Maumbile Yangu ya Kiume Yapinde... TATIZO LA UUME KUPINDAHabari za kazi, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 44.Nimejihusisha na tabia ya kujichua kwa zaidi ya miaka kumi.Sasa hivi uume wangu umepinda kuelekea upande wa kulia. Hali hii huwa hivi hivi hata ninapo kuwa nime erect.Na ninapokuwa nafanya tendo la ndoa, misuli ya uume huwa inauma sana hasa hasa baada ya kufika kileleni.Pia manii huwa hazimwagiki kwa kasi na mara nyingi huwa hazitoki kabisa , zinabaki ndani kwenye mirija.Nimejaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili kwa muda mrefu, pasi na msaada wwowote.Tafadhali naomba nisaidieni kupata ufumbuzi wa tatizo langu.Tatizo la uume kupinda eidha upande wa kulia ama upande wa kushoto ni tatizo linalo wakabili wanaume wengi duniani. Kufahamu kuhusu chanzo cha tatizo hili na jinsi unavyo weza kujiepusha nalo ama kutibu tatizo hilo tafadhali tembelea link hii hapa chini;http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/uhusiano-kati-ya-damu-na-tatizo-la.html?showComment=1491905498637#c4934091658443508713http://go.ad2up.com/afu.php?id=1223048 Share This: Facebook Twitter Google+ Pinterest Linkedin