LISSU- Watanzania Msahau Bunge Kuonyeshwa Live' kwa sasa..

LISSU- Watanzania Msahau Bunge Kuonyeshwa Live' kwa sasa..



Mwanasheria wa CHADEMA, Rais wa Chama cha Wanasheria (TLS) na mbunge Tundu Lissu amesema kuwa Bunge Live tusahau kwa sasa mpaka CCM itoke madarakani! 

Katika mahojiano  Lissu ameeleza pia kuwa yeye kama Rais wa TLS anaona kuwa kuna umuhimu wa kuhakikisha kuwa kikatiba juhudi zinafanywa kupunguza madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia kuhakikisha viongozi wanafuata katiba na siyo kufikiri matamko yao ndiyo sheria.

 



Back To Top